Luke Campbell akiinua mikono juu kushangilia baada ya kumbwaga chini mpinzani wake, Tommy Coyle raundi ya pili usiku wa jana katika pambano la kuwania kugombea ubingwa wa WBC uzito wa Light. Luke Campbell alimshinda Tommy Coyle kwa Technical Knockout (TKO) raundi ya Uwanja wa KC. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Joshua stops Paul in six rounds in Miami mismatch
-
British heavyweight Anthony Joshua needs six rounds to stop boxing novice
Jake Paul, who spends much of the contest in survival mode.
31 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment