MDAU wa soka, Yussuf Bakhresa amejitolea kugombea Uenyekiti wa Simba SC katika uchaguzi ujao. Yussuf, mkazi wa Gongolamboto, Dar es Salaam, amechukua fomu za kugombea nafasi hiyo leo makao makuu ya jeshi la Polisi na amesema anataka kuifanya klabu hiyo iwe maarufu nchini. Lakini amesema atarejesha fomu hizo iwapo tu atajitokeza mwanachama mwingine kuomba nafasi hiyo. 1st April, 2014.
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment