MAGORI, EDO, MWAISABULA 'FULL BATA' NDANI YA CITY SPORTS LOUNGE
Wadau wa soka, kutoka kulia Leodidas Nkwaba, Kenny Mwaisabula, Edo kumwembe, Crescentius Magori na George Wakuganda usiku huu wakiangalia mechi ya Euro 2012 kati ya Jamhuri ya Czech na Ugiriki kwenye mgahawa wa City Sports Lounge, Mtaa wa Samora, Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment