| Kocha wa timu ya soka ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Jamhuri Mussa Kihwelo 'Julio' kushoto akiwanoa vijana wake katika jua kali la adhuhuri, Uwanja wa Karume, Ilala mjini Dar es Salaam leo. Julio analazimika kufanya kazi muda huo, ili kuwahi kuwapisha timu ya wakubwa, Taifa Stars inayoanza mazoezi alasiri. |
0 comments:
Post a Comment