Mwanzo > YANGA > SIMBA NA YANGA ZATOZWA FAINI KWA MAKOSA TOFAUTI HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA SIMBA YANGA SIMBA NA YANGA ZATOZWA FAINI KWA MAKOSA TOFAUTI KLABU za Simba na Yanga zimetozwa faini kwa makosa mbalimbali ya kikanuni katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina yao ulionalizika kwa sare ya 0-0 Jumamosi iliyopita Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Wednesday, May 04, 2022 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA SIMBA YANGA
0 comments:
Post a Comment