BONDIA Suleiman Kidunda juzi alipeperusha vyema bendera ya Tanzania baada ya ushindi wa pointi dhidi ya Erick Tshimanga Katompa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na kutwaa ubingwa wa WBF Intercontinental uzito wa Super Middle katika pambano lililofanyika Uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma.
Katika mapambano ya utangulizi,mkongwe Shaaban Kaoneka alimchapa kwa Knockout Karim Mandonga.
Aidha,George Bonabucha alimchapa Yusuph Ally wa Malawi kwa pointi.
Naye mwanamuziki aliyehamia kwenye ndondi,Khalid Chokoraa alitoka droo na Chiddy Benga
Naye Ezra Paul alimchapa Shaffi Mohamed kwa Knockout.
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago


.png)
0 comments:
Post a Comment