WINGA wa Azam FC, Ayoub Lyanga leo amefanyiwa upasuaji katika hospitali ya Life Vincent Pelloti mjini Cape Town, Afrika Kusini. Upasuaji huo uliochukua muda wa saa mbili, unafuatia Lyanga kuumia Novemba mbili mwaka huu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Geita Gold.
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment