Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo bao la pili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Newcastle usiku wa leo Uwanja wa Stamford Bridge London dakika ya 59. Bao la kwanza The Blues lilifungwa na Oscar dakika ya 43
Johnson to hold talks with Palace boss Glasner
-
Brennan Johnson will meet Crystal Palace manager Oliver Glasner on Thursday
before making a final decision on whether to complete a £35m move from
Tottenham.
26 minutes ago


.png)
0 comments:
Post a Comment