BEKI Benoit Assou-Ekotto alimalizia hasira zake za kipigo cha mabao 4-0 cha Croatia kwa kumvaa mchezaji mwenzake, Benjamin Moukandjo mwishoni mwa mchezo na kumsigina kichwa.
Beki huyo wa kushoto wa Tottenham aliyecheza kwa mkopo QPR msimu uliopita aliendeleza hasira zake hata baada ya mchezo mjini Manaus hadi Samuel Eto'o akalazimika kwenda kumtuliza.Ekotto clashed with Benjamin Moukandjo in Manaus
Moukandjo akilalamika baada ya kupigwa kichwa na Assou-Ekotto
Mshambuliaji wa Cameroon, Samuel Eto'o alilazimika kwenda kumdhibiti Assou-Ekotto baada ya mechi
Hicho kinakuwa kipigo cha pili kwa Cameroon nchini Brazil, baada ya awali kufungwa na Mexico na manna yake watashuka dimbani Jumatatu kucheza na wenyeji Brazil mjini Brasilia kukamilisha mechi zao tatu za Kundi kisha wanarejea nyumbani.



.png)
0 comments:
Post a Comment