• HABARI MPYA

    Sunday, January 12, 2014

    WABUNGE WA MUUNGANO WAKIWAPASHIA WAWAKILISHI LEO GYMKHANA, HUYO HALIMA MDEE NA ESTHER BULAYA...

    Mbunge wa jimbo la Kawe, Dar es Salaam, Halima Mdee kushoto akiruka juu kuwania mpira wakati wa mazoezi ya timu ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jioni leo Uwanja wa Gymkhana, Zanzibar kujiandaa na mchezo dhidi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar kesho kwenye Uwanja huo katika mfululizo wa sherehe za miaka 50 ya mapinduzi ya Zanzibar.
    Wabunge wakipasha Gymkhana leo
    Mapumziko; Halima Mdee kushoto akiwa na Mbunge wa CCM, Viti Maalum, Esther Bulaya kulia
    Halima Mdee akikaba

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WABUNGE WA MUUNGANO WAKIWAPASHIA WAWAKILISHI LEO GYMKHANA, HUYO HALIMA MDEE NA ESTHER BULAYA... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top