IMEWEKWA AGOSTI 18, 2013 SAA 3:27 USIKU Misuli ya beki wa Yanga SC na mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu uliopita, Kevin Patrick Yondan 'Vidic' inavyoonekana baada ya kuumia jana kufuatia kugongana na mshambuliaji wa Azam FC, John Raphael Bocco 'Adebayor' katika mchezo wa jana wa Ngao ya Jamii kati ya timu hizo. Yanga ilishinda 1-0.
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...