• HABARI MPYA

    Tuesday, June 04, 2013

    KOCHA MHOLANZI WA YANGA ATUA DAR USIKU HUU TAYARI KUANDAA TIMU KWA MSIMU MPYA

    IMEWEKWA JUNI 4, 2013 SAA 5:00 USIKU
    Kocha Mkuu wa Yanga SC, Mholanzi Ernie Brandts (kulia) baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam usiku wa leo akitokea kwao Uholanzi kwa mapumziko mafupi baada ya kumaliza msimu, tayari kuanza maandalizi ya kikosi chake kwa msimu mpya. Aliyemlaki kushoto ni Meneja wa Yanga SC, Hafidh Saleh.

    Anaondoka Airport 

    Baada ya kutua, kitu cha kwanza aliwasha simu yake

    Anafungua mlango wa gari lake apakie mizigo

    Anafungua mlango wa nyuma apakie mizigo

    Hahitaji msaada wa mtu, anapakia mwenyewe

    Anafunga mlango baada ya kupakia

    BIN ZUBEIRY anaondoka baada ya kumaliza kazi yake

    Brandts naye anapanda gari lake

    Anapiga stata...

    Anaondoka Airport 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: KOCHA MHOLANZI WA YANGA ATUA DAR USIKU HUU TAYARI KUANDAA TIMU KWA MSIMU MPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top