• HABARI MPYA

    Wednesday, June 13, 2012

    KASEBA NA CHEKA SAFARI HII UWANJA MPYA WA TAIFA






















    Mabondia, Francis Cheka (kushoto) na Japhert Kaseba, wakitunishiana misuli wakati wa utambulisho wa mpambano wao unaotarajia kufanyika Siku ya tarehe saba mwezi wa saba katika uwanja mpya wa taifa.


    PAMBANO kati ya Japhet Kaseba na Francis Cheka, litafa nyika katika Uwanja mpya wa Taifa, Dar es Salaam Julai, mwaka huu.
    katika pambano hilo, pia kutakuwa burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii nchini wakiongozwa na Diamond  pia kutakua na mechi ya Bongo Move na wasanii wa Bongo Fleva watakapochuana kwa mara nyingine katika mpambano uho ulioandaliwa na Global na kuratibiwa na Kaike Siraju utakuwa ni mpambano wa kwanza wa Masumbwi kufanyika katika uwanja mpya wa Taifa
    Baadhi ya mabondia watakaosindikiza mpamnbano huo ni  Adiphoce Mchumia tumo atakaedundana na Ramadhani Kido wakati Amos Mwamakula ataoneshana kazi na Rashini Ali uku Mkongo Kanda Kabongo akizipiga na  Said Mbelwa wakati bondia chipkizi kutoka kambi ya masumbwi ya Ilala inayonolewa na Kocha Mkongwe Habibu Kinyogoli Masta na Kocha maarufu Rajabu Mhamila 'Super D'  watampandisha bondia Ibrahimu Class kuoneshana kazi na Sadiki Momba
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KASEBA NA CHEKA SAFARI HII UWANJA MPYA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top