![]() |
| Abidal |
BEKI wa kimataifa wa Ufaransa
nayechezea Barcelona, Eric Abidal alitarajiwa kufanyiwa upasuaji wa ini leo, Msemaji
wa klabu hiyo alisema bila kuthibitisha kama upasuaji huo ulifanyika au la.
"Nathibitisha kwamba
upasuaji ulitakiwa kufanyika leo, lakini sifahamu kama umeanza," alisema.
Barcelona ilitangaza Machi 15,
mwaka huu kwamba mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 atafanyiwa upasuaji wiki
zijazo.



.png)
0 comments:
Post a Comment