MABILIONEA WATANO WENYE FEDHA CHAFU LAKINI HAWAJAOA
Alejandro Santo Domingo
Akiwa ana umri wa miaka 35, tayari ana utajiri wa dola za Kimarekani
Bilioni 9.5. Raia huyo wa Colombia, ambaye
alihitimu masomo yake katika chuo cha Harvard mwaka 1999, sehemu kubwa ya
utajiri wake amerithi kwa marehemu baba yake. Mkazi huyo wa Manhattan anahusishwa
na skendo za kutembea na vimwana wakali kama Amanda Hearst na mwanamitindo
Julie Henderson, ambaye kwa sasa anaishi naye.
Yoshikazu Tanaka
Akiwa ana umri wa miaka 35, ana utajiri wa dola za KImarekani
Bilioni 3.5.
Mtu huyo kutoka bara la Asia ni mwanzilishi na CEO kampuni ya
game za mitandao inayoongoza Japan, Gree. Kampuni hiyo ilichukua game ya
mtandao ya Marekani, OpenFeint mwaka jana.
Robert Pera
Akiwa ana umri wa miaka 34, ana utajiri wenye thamani ya dola
za KImarekani Bilioni 1.5.
Mtaalamu huyo wa programua ya kompyuta ya Apple, ambaye aliibuka
mwaka 2005 na kuwa bilionea Oktoba mwaka 2011 wakati program yake ya Ubiquiti
Networks iliposambaa, hakuna ajabu hadi sasa hana mke. Anapiga kazi, anacheza hoops
na anaishi simpo tu katika nyumba yenye fenicha za kawaida na chumba kimoja tu
cha kulala huko San Jose.
Eduardo Saverin
Akiwa ana umri wa miaka 30, ana utajiri wenye thmani ya dola
za KImarekani Bilioni 2. Mwanzishaji huyo mshiriki wa Facebook, Eduardo
Saverin, ambaye anatimiza miaka 30 akiwa hana mke, alizaliwa Brazil, akahirimu
masomo yake Chuo Kikuu cha Harvard na sasa anaishi Singapore.
Albert von Thurn und Taxis
Akiwa ana umri wa miaka 28, ana utajiri wenye thamani ya dola
za Kimarekani Bilioni 1.5.
Bilionea huyo mdogo, lakini bado hajaoa na Albert von Thurn
und Taxis bado anaishi familia yake ya wakimbiza magari huko Ujerumani.
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment