Mwanzo > Untagged PRISONS ILIPOBANWA NA JKT RUVU DAR... PRISONS ILIPOBANWA NA JKT RUVU DAR... Mshambuliaji wa timu ya Prisons ya Mbeya, Ramadhan Katamba (kushoto) akiwania mpira na Kessy Mapande wa JKT Ruvu wakati wa mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara iliyofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam jana. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1. Friday, April 10, 2009
0 comments:
Post a Comment