MCHEZAJI mpya wa Yanga SC, Mrundi Saidi Ntibazonkiza amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mwezi Desemba msimu huu wa 2020/2021.
Mrundi mwenzake, Cedric Kaze amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mwezi Desemba msimu huu wa 2020/2021.

Habari mbaya kwa Yanga SC ni kwamba, beki wao Bakari Nondo Mwamnyeto amefiwa na mkewe.


.png)
0 comments:
Post a Comment