Winga wa Simba SC, Ramadhani Singano 'Messi'akidhibitiwa na mchezaji mwenzake, Awadh Juma wakati alipotaka kugombana na mchezaji wa URA katika Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi jana Uwanja wa Amaan. Mbinde hilo lilianzia baada ya Messi kuchezewa rafu na Owen Kassule aliyepewa kadi nyekundu, hivyo wachezaji wa URA wakamfuata kumlaani winga wa Wekundu wa Msimbazi kwa kumponza mwenzao kutolewa mchezoni. Simba SC ilishinda 2-0. |
0 comments:
Post a Comment