“WATER”
“WATER”
“SAFINA”
“NGANO
“UNGA
“UNGA
HABARI MOTOMOTOHABARI ZA AFRIKA

MAMELODI SUNDOWNS YALAZIMISHWA SARE NA PYRAMIDS FC, 1-1 PRETORIA

WENYEJI, Mamelodi Sundowns wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Pyramids FC ya Misri katika mchezo wa kwanza wa Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika jioni ya leo Uwanja wa Loftus Versfeld Jijini Pretoria, Afrika Kusini.
Mabao yote yalifungwa na viungo – Mbrazil Lucas Ribeiro Costa akianza kuifungia Mamelodi Sundowns dakika ya 54, kabla ya Mmorroco Walid El Karti kuisawazishia Pyramids FC dakika ya 90’+4.
Timu hizo zitarudiana Juni 1 Uwanja wa Jeshi la Anga wa Juni 30 Jijini Cairo, Mamelodi Sundowns wakitakiwa lazima washinde ugenini, wakati kwa Pyramids FC hata sare ya bila mabao itawapa taji la kwanza la Ligi ya Mabingwa na kurithi Ufalme wa ndugu zao, Al Ahly.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button