“SAFINA”
“NGANO
“UNGA
“UNGA
“WATER”
HABARI MOTOMOTOHABARI ZA NYUMBANI

AZAM FC YAICHAPA DODOMA JIJI 5-0 CHAMAZI

WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
Mabao ya Azam FC yamefungwa na beki na Nahodha, Lusajo Mwaikenda dakika ya sita, viungo Abdul Suleiman ‘Sopu’ dakika ya 17, Mgambia Gibrill Sillah dakika ya 20, Nassor Saadun dakika ya 27 na Frank Tiesse wa Mali dakika ya 55.
Kwa ushindi huo, Azam FC wanafikisha pointi 57, ingawa inabaki nafasi ya tatu, wakati Dodoma Jiji inabaki na pointi zake 34 nafasi ya saba baada ya timu zote kucheza mechi 28.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button