“SAFINA”
“NGANO
“UNGA
“UNGA
“WATER”
HABARI ZA NYUMBANI

RAIS DK MWINYI AWALIPIA SIMBA GHARAMA ZA UWANJA WA AMAAN

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi ametoa gharama zote za Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar kwa ajili ya mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Mchezo huo wa marudiano utafanyika Jumapili kuanzia Saa 10:00 jioni — Simba SC wakimenyana na RSB Berkane ya Morocco.
Simba inatakiwa kushinda mabao 3-0 baada ya kufungwa 2-0 kwenye mchezo wa kwanza Jumamosi iliyopita Uwanja wa Manispaa ya Berkane mjini Berkane nchini Morocco.
Tofauti na hivyo washinde 2-0 na mchezo uhamie kwenye dakika 30 za nyongeza hadi mikwaju ya penalti kusaka bingwa mpya wa taji hilo lilioachwa wazi na Zamalek ya Misri.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button