“WATER”
“WATER”
“SAFINA”
“NGANO
“UNGA
“UNGA
HABARI ZA AFRIKA MASHARIKI

AUCHO NA MUKWALA WACHUANA KUWANIA TUZO YA FUFA

KIUNGO wa Yanga, Khalid Aucho na mshambuliaji wa Simba, Steven Dese Mukwala wanachauna katika Tuzo za Shirikisho la Soka Uganda kwenye kipengele cha Mwanasoka Bora Anayecheza nje ya nchi hiyo.
Wawili hao wamewekwa kwenye kipengele hicho pamoja na Bevis Mugabi anayechezea Anorthosis Famagusta ya Cyprus, Elio Capradossi wa SC Cittadella ya Italia na Rogers Mato wa FK Vardar Macedonia Kaskazini.
Sherehe za Tuzo hizo za FUFA zinazodhaminiwa na Kampuni ya simu ya MTN katika usiku uliopewa jina ‘Celebrating Football Heroes, Inspiring Future Stars’ zitafanyika Mei 30katika hoteli ya Serena Jijini Kampala.
Zoezi la kuwapigia kura wote wanaowani Tuzo za FUFA linatarajiwa kufunguliwa Jumamosi ya Mei 24

ORODHA KAMILI YA WANAOWANIA TUZO ZA FUFA:

MWANASOKA BORA WA KIUME
Denis Omedi – Kitara FC
Ssekiganda Ronald – SC Villa
Kakande Jonah Patrick – SC Villa
Jude Ssemugabi – Kiatara FC
Allan Okello – Vipers SC
MWANASOKA BORA WA KIKE
Agnes Nabukenya – Kawempe Muslim Ladies FC
Daisy Nakaziro – Kampala Queens FC
Kabusobozi Resty – Lady Doves FC
Nalugya Shamirah – Kampala Queens FC
Nandede Zainah – Kampala Queens FC
KOCHA BORA WA KIUME
Mbalangu Hussein – NEC FC
Ssenyondo Brian – U17 Head Coach
Dusan Stojanovic – SC Villa
KOCHA BORA WA KIKE
Frank Anyau – Amus College Head Coach
Issa Hassan – She Corporate LFC
Ayub Khalifah Kiyinji – Kawempe Muslim LFC Head Coach
MWANASOKA BORA ANAYEIBUKA
Okello Richard – BUL FC
Jara Brian – KCCA FC
Bogere James – Masaka Sunshine
MCHEZAJI BORA WA SOKA YA UFUKWENI
Kasibante Edward – Buganda Royal BSC
Lule Paul – Kampala City BSC
Nkuubi Brian – St. Lawrence University BSC
MCHEZAJI BORA WA FUTSAL
Ilyas Omar Omran – Kisenyi Futsal Club
Joshua Aziku – Park Futsal Club
Tumwesigye Farouk – Mengo Futsal Club
SHABIKI BORA WA MWAKA
Uncle Money Group
Kamodo Group
Team Dressers
Byaruhanga
Bilangilangi Group
MWANASOKA BORA ANAYECHEZA NJE CHAGUO LA MASHABIKI
Bevis Mugabi – Anorthosis Famagusta (Cyprus)
Elio Capradossi – SC Cittadella (Italy)
Mukwala Steven – Simba SC (Tanzania)
Rogers Mato -FK Vardar (North Macedonia)
Khalid Aucho – Yanga SC (Tanzania)
Best Squad of a Particular Year

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button