• HABARI MPYA

  Jumapili, Januari 09, 2022

  CHELSEA YAUA 5-1 KOMBE LA FA ENGLAND


  WENYEJI, Chelsea jana waliweka hai matumaini ya kushinda michuano ya 150 ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa 5-1 dhidi ya Chesterfield Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.
  Mabao ya Chelsea katika mchezo huo wa Raundi ya Tatu yalifungwa na Timo Werner dakika ya sita, Callum Hudson-Odoi dakika ya 18, Romelu Lukaku dakika ya 20, Andreas Christenses dakika ya 39 na Hakim Ziyech kwa penalti dakika ya 55, wakati la Chesterfield lilifungwa na Akwasi Asante dakika ya 80.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA YAUA 5-1 KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top