• HABARI MPYA

  Jumatatu, Januari 10, 2022

  ASRENAL YATUPWA NJE NA TIMU YA ‘ MCHANGANI’ FA


  TIMU ya Championship, Nottingham Forest imerudia ilichokifanya mwaka 2018 katika Kombe la FA kwa kuifunga Arsenal 1-0 usiku wa Jumapili katika mchezo wa Raundi ya Tatu Uwanja wa City Ground.
  Bao lililokizamisha kikosi cha Mikel Arteta cha wachezaji makinda limefungwa na Nahodha wa Nottingham, Lewis Grabban dakika ya 82 na hii inakuwa mara ya pili tu kwa Arsenal kutolewa Raundi ya Tatu Kombe la FA ndani ya miaka 25 iliyopita kwa Forest.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ASRENAL YATUPWA NJE NA TIMU YA ‘ MCHANGANI’ FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top