• HABARI MPYA

  Ijumaa, Desemba 03, 2021

  RASMI, RALF RANGNICK KOCHA MPYA MAN U


  KOCHA mpya wa Manchester United, Mjerumani, Ralf Rangnick akiwa ameshika jezi ya timu hiyo Uwanja wa Old Trafford baada ya kusaini wa muda hadi mwishoni mwa msimu kufuatia kufukuzwa kwa Mnorway, Ole Gunnar Solskjaer mwezi uliopita.
  Mtaalamu huyo mwenye umri wa miaka 63 anaweza kuongezwa mkataba wa miaka miwili akifanya vizuri.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RASMI, RALF RANGNICK KOCHA MPYA MAN U Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top