• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 05, 2021

  ORIGI AING’ARISHA LIVERPOOL MOLINEUX


  BAO la mshambuliaji Mbelgiji mwenye asili ya Kenya, Divock Origi dakika ya 90 na ushei limeipa Liverpool ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Wolverhampton Wanderers katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Molineux.
  Liverpool ya kocha Mjerumani, Jurgen Klopp inafikisha pointi 34 baada ya ushindi huo na kusogea nafasi ya pili, ikizidiwa pointi moja na mabingwa watetezi, Manchester City baada ya wote kucheza mechi 15.
  Wolves inabaki na pointi zake 21 za mechi 15 pia nafasi ya tisa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ORIGI AING’ARISHA LIVERPOOL MOLINEUX Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top