• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 23, 2021

  CHELSEA YATINGA NUSU FAINALI CARABAO


  MABINGWA wa Ulaya, Chelsea wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa 2-0 dhidi Brentford usiku huu Uwanja wa Brentford Community mjini Brentford, Middlesex.
  Mabao ya Chelsea yamefungwa na Pontus Jansson aliyejifunga dakika ya 80 na Jorginho kwa penalti dakika ya 85 na kwa ushindi huo The Blues ya kocha Thomas Tuchel inaungana na Tottenham, Arsenal na Leicester in katika droo ya Nusu Fainali.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA YATINGA NUSU FAINALI CARABAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top