• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 02, 2021

  CHELSEA YAILAZA WATFORD 2-1 VICARAGE


  VINARA, Chelsea jana wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Watford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Vicarage Road mjini Watford.
  Mabao ya Chelsea yalifungwa na Mason Mount dakika ya 29 na Hakim Ziyech dakika ya 72, wakati la Watford lilifungwa na Emmanuel Dennis 43.
  Chelsea inafikisha pointi 33 na kuendelea kuongoza Ligi is pointi moja zaidi ya Manchester City na mbili zaidi ya Liverpool baada ya timu zote kucheza mechi 14, wakati Watford inabaki na pointi zake 13 za mechi 14 nafasi ya 17.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA YAILAZA WATFORD 2-1 VICARAGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top