• HABARI MPYA

  Jumatatu, Desemba 13, 2021

  BARCELONA KUMENYANA NA NAPOLI EUROPA LEAGUE

  MABINGWA wa zamani wa Ulaya, Barcelona watamenyana na Napoli katika mechi za mchujo za UEFA Europa League baada ya kutolewa katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
  Barcelona wamejikuta katika Europa League kwa mara ya kwanza tangu msimu wa 2003-04, baada ya kumaliza nafasi ya tatu kwenye kundi lake Ligi ya Mabingwa nyuma ya Bayern Munich na Benfica.
  Mechi za kwanza zitachezwa Februari 17 na marudiano Februari 14 mwakani, wakati droo ya 16 Bora itapangwa na Februari  25 na mechi za kwanza za hatua hiyo zitafuatia Macha 10 na marudiano Mechi 17, mwaka 2022.


  RATIBA KAMILI EUROPA LEAGUE 
  Barcelona v Napoli 
  Rangers v Dortmund 
  Porto v Lazio
  Sheriff v Braga
  Borussia Dortmund v Rangers
  Zenit v Real Betis
  RB Leipzig v Real Sociedad
  Atalanta v Olympiacos
  Sevilla v Dinamo Zagreb
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BARCELONA KUMENYANA NA NAPOLI EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top