• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 08, 2021

  XAVI ATAMBULISHWA RASMI BARCELONA

  BARCELONA imemtambulisha mchezaji wake wa zamani, Xavi kuwa kocha wake mpya kufuatia kufukuzwa Ronald Koeman.
  Xavi ametambulishwa leo Uwanja wa Camp Nou mbele ya mashabiki 10,000 kufuatia kusaini mkataba wa miaka miwili na nusu.
  Xavi amelazimika kuvunja mkataba  na Al Sadd kwa kuilipa Pauni  Milioni 4.3 ili kurejea Camp Nou.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: XAVI ATAMBULISHWA RASMI BARCELONA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top