• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 21, 2021

  SOLSKJAER AFUKUKUZWA MAN UNITED


  KLABU ya Manchester United imemfukuza kocha wake, Ole Gunnar Solskjaer kifuatia kipigo cha 4-1 ugenini mbele ya Watford jana.
  Taarifa ya klabu imesema kwamba Micheal Carrick ataiongoza timu kwa muda hadi atakapotangazwa kocha mpya.
  Mchezaji huyo wa zamani wa klabu hiyo, Solskjaer amekuwa kazini takribani miaka mitatu mitatu Manchester United na dalili za kufukuzwa zilianza baada ya kufungwa na Liverpool na Manchester City.
  Na kufukuzwa kwake kunafuatia kikao cha dharula kilochoitishwa jana baada ya kipigo kisichotarajiwa cha Watford.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SOLSKJAER AFUKUKUZWA MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top