• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 25, 2021

  REAL MADRID YASHINDA 3-0 UGENINI


  MABAO ya David Alaba dakika ya 30, Tony Kroos dakika ya 45 na ushei na Karim Benzema dakika ya 55 jana yameipa Real Madrid ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Sheriff Tiraspol katika mchezo wa Kundi D Uwanja wa Bolshaya Sportivnaya Arena Jijini Tiraspol.
  Real Madrid ambayo imeshafuzu 16 Bora, inafikisha pointi 12 na kuendelea kuongoza kundi mbele ya Inter Milan yenye pointi 10, Sheriff sita na Shakhtar Donetsk moja.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL MADRID YASHINDA 3-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top