• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 25, 2021

  MAN CITY YAICHAPA PSG 2-1 ETIHAD


  WENYEJI, Manchester City wametoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Paris Saint-Germain katika mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Etihad.
  Kylian Mbappe alianza kuifungia Paris Saint-Germain dakika ya 50, kabla ya Man City kuzinduka kwa mabao ya Raheem Sterling dakika ya 63 na Gabriel Jesus dakika ya 76 na kwa matokeo hayo zote zinafuzu Hatua ya 16 Bora.
  Manchester City inaongoza Kundi kwa pointi zake 12, ikifuatiwa na PSG nane, RB Leipzig nne sawa na Club Brugge.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY YAICHAPA PSG 2-1 ETIHAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top