• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 21, 2021

  MAN CITY YAICHAPA EVERTON 3-0


  WENYEJI, Manchester City wameibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Everton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad.
  Mabao ya Man City leo yamefungwa na Raheem Sterling dakika ya 44, Rodri dakika ya 55 na Bernardo Silva dakika ya 86 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi  26, wakizidiwa tatu na vinara, Chelsea baada ya wote kucheza mechi 12.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY YAICHAPA EVERTON 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top