• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 04, 2021

  MAN CITY YAICHAPA CLUB BRUGGE 4-1

  WENYEJI, Manchester City wamepanda kileleni mwa Kundi A baada ya ushindi wa 4-1 dhidi ya Club Brugge usiku wa Jumatano Uwanja wa Etihad.
  Mabao ya Man City yalifungwa na Phil Foden dakika ya 15, Riyad Mahrez dakika ya 54, Raheem Sterling dakika ya 72 na Gabriel Jesus dakika ya 90 na ushei, wakati la Atlético John Stones alijifunga dakika ya 17.
  Man City inafikisha pointi tisa na kupanda kileleni mwa Kundi ikiizidi pointi moja PSG inayofuatia, wakati Club Brugge inabaki na pointi zake nne katika nafasi ya tatu mbele ya kwa RB Leipzig inayoshika mkia kwa pointi yake moja.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY YAICHAPA CLUB BRUGGE 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top