• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 07, 2021

  MAN CITY YAIPIGA UNITED 2-0 OT


  MABAO ya Erick Bailly aliyejifiunga dakika ya saba na Bernardo Silva dakika ya 45 yameipa Manchester City ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Manchester United leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford.
  Man City inafikisha pointi 23 na sasa inazidiwa pointi tatu na vinara, Chelsea wakati Man United inabaki na pointi zake 17 baada ya timu zote mechi 11.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY YAIPIGA UNITED 2-0 OT Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top