• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 25, 2021

  LIVERPOOL YAENDELEZA USHINDI 100% ULAYA


  WENYEJI, Liverpool jana wameedeleza wimbi la ushindi baada ya kuichapa Porto mabao 2-0 katika mchezo wa Kundi Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Anfield.
  Mabao ya Liverpool jana yamefungwa na Thiago Alcantara dakika ya 52 na Mohamed Salah dakika ya 70 na ushindi huo ni mwendelezo wa rekodi nzuri ya kushinda mechi zake zote. 
  Liverpool sasa inafikisha pointi 15 na kuendelea kuongoza kundi hilo ikifuatiwa kwa mbali na Porto pointi tano, AC Milan nne sawa na Atletico Madrid baada ya wote kucheza mechi tano.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAENDELEZA USHINDI 100% ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top