• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 03, 2021

  HAKIM ZIYECH AING’ARISHA CHELSEA ULAYA


  BAO pekee la Hakim Ziyech dakika ya 56 limeipa  Chelsea ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Malmö FF katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne Uwanja wa Eleda mjini Malmö.
  Chelsea inafikisha pointi tisa na kuendelea kushika nafasi ya pili nyuma ya Juventus yenye pointi 12 na mbele ya Zenit yenye pointi tatu, wakati Malmo inaendelea kushika mkia baada ya kufungwa mechi zote nne.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HAKIM ZIYECH AING’ARISHA CHELSEA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top