• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 11, 2021

  GERRARD KOCHA MPYA ASTON VILLA


  KLABU ya Aston Villa imeteua gwiji wa Liverpool, Steven Gerrard kuwa kocha wake mpya, baada ya kumfukuza Dean Smith.
  Gerrard, mwenye umri wa miaka 41, anatua Villa Park baada ya kufanya kazi nzuri akiwa na Rangers ya Scotland na mechi yake ya kwanza dhidi ya timu yake aliyoichezea kwa mafanikio, Liverpool itakuwa  Desemba 11 Uwanja wa Anfield.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: GERRARD KOCHA MPYA ASTON VILLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top