• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 27, 2021

  ARSENAL YAICHAPA NEWCASTLE UNITED 2-0


  WENYEJI, Arsenal wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates Jijini London.
  Mabao ya Arsenal yamefungwa na Bukayo Saka dakika ya 56 na Gabriel Martinelli dakika ya 66 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 23 na kusogea nafasi ya tano, wakati Newcastle United inabaki na pointi zake sita na kuendelea kushika mkia.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YAICHAPA NEWCASTLE UNITED 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top