• HABARI MPYA

  Jumapili, Juni 13, 2021

  ALGERIA YAICHAPA TUNISIA 2-0 NA KUFIKISHA MECHI 27 BILA KUFUNGWA

  TIMU ya taifa ya Algeria imetanua rekodi yake ya kutopoteza mechi baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya jirani zao, Tunisia kwenye mchezo wa kirafiki mjini Rades, Tunis Ijumaa jioni.
  Pongezi kwa wafungaji wa mabao hayo, Baghdad Bounedjah dakika ya 19 na Nahodha Riyad Mahrez dakika ya 28 kipindi cha kwanza na sasa mabingwa hao wa Afrika wanafikisha mechi 27 mfululizo bila kupoteza.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ALGERIA YAICHAPA TUNISIA 2-0 NA KUFIKISHA MECHI 27 BILA KUFUNGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top