• HABARI MPYA

  Jumapili, Machi 07, 2021

  GHANA MABINGWA AFCON U20 BAADA YA KUIPIGA UGANDA 2-0

  TIMU ya Ghana imetwaa ubingwa wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON U20) baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Uganda jana Uwanja wa Olimpiki wa Nouakchott nchini Mauritania.
  Mabao ya Ghana jana yalifungwa na Daniel Afriyie Barnieh dakika ya 22 na 51 na – hilo linakuwa taji lao la pili baada ya lile la 2009 nchini Rwanda na la nne kwa ujumla tangu michuano hiyo inaiywa AFCON U21.
  Ikumbukwe juzi Gambia ilifanikiwa kumaliza nafasi ya tatu baada ya ushindi wa penalti 4-2 kufuatia sare ya 0-0 na Tunisia Uwanja wa Cheikha Ould Boidiya Jijini Nouakchott.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: GHANA MABINGWA AFCON U20 BAADA YA KUIPIGA UGANDA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top