• HABARI MPYA

  Jumatano, Machi 31, 2021

  AFRIKA MASHARIKI WATAZAMAJI FAINALI ZA AFCON 2022 CAMEROON


  NCHI zote za Afrika, Tanzania, Kenya na Uganda zitakuwa watazamaji wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika kati ya Januari na Februari mwakani nchini Cameroon.
  Kutokana wa CECAFA (Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati) ni Sudan na Ethiopia pekee zimefuzu, wakati Comoro imeandika historia kwa kufuzu kwa mara ya kwanza.
  Timu nyingine zilizofuzu ni wenyeji, Cameroon, mabingwa watetezi, Algeria, Senegal, Mali, Tunisia, Burkina Faso, Guinea, Gabon, Gambia, Misri, Ghana, Equatorial Guinea, Zimbabwe, Ivory Coast, Morocco, Nigeria, Malawi, Mauritania, Guinea-Bissau na Cape Verde.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AFRIKA MASHARIKI WATAZAMAJI FAINALI ZA AFCON 2022 CAMEROON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top