• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 04, 2021

  NI MOROCCO NA MALI KATIKA FAINALI YA CHAN 2021


  MABINGWA watetezi, Morocco wamefanikiwa kwenda Fainali ya michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji. Cameroon usiku wa Jumatano Uwanja wa Limbe, Cameroob.
  Mabao ya Morocco yamefungwa na Bouftini dakika ya 29, Rahimi dakika ya 40 na 74 na Ali Bemammer na sasa watakutana na Mali kwenye Fainali Jumapili Uwanja wa Ahmadou Ahidjo Jijini Yaoundé.
  Mali yenyewe imetinga Fainali baada ya ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya Guinea kufuatia sare ya 0-0.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NI MOROCCO NA MALI KATIKA FAINALI YA CHAN 2021 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top