• HABARI MPYA

  Ijumaa, Februari 05, 2021

  AL AHLY KUMENYANA NA BAYERN MUNICH KLABU BINGWA YA DUNIA


  BAO pekee la Hussein El Shahat dakika ya 30 jana liliiwezesha Al Ahly SC ya Misri kuwachapa wenyeji, Al Duhail SC 1-0 katika mchezo wa Robo Fainali ya Klabu Bingwa ya Dunia ya FIFA Uwanja Ahmed bin Ali Jijini Al Rayyan, Qatar.
  Sasa mabingwa hao wa Afrika, Al Ahly watamenyana na mabingwa wa Bayern Munich ya Ujerumani katika Nusu Fainali Jumapili hapo hapo Uwanja wa Ahmed bin Ali.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AL AHLY KUMENYANA NA BAYERN MUNICH KLABU BINGWA YA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top