• HABARI MPYA

  Alhamisi, Oktoba 15, 2020

  RATIBA KAMILI CHAN 2021; CAMEROON KUANZA NA ZIMBABWE


  SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetoa ratiba ya Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika zitakazofanyika kuanzia Januari mwakani nchini Cameroon na wenyeji, Simba Wasiofungika watafungua dimba na Zimbabwe Januari 14 Uwanja wa Ahmadou Ahidjo Jijini Yaoundé.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RATIBA KAMILI CHAN 2021; CAMEROON KUANZA NA ZIMBABWE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top