• HABARI MPYA

  Ijumaa, Septemba 18, 2020

  THIAGO ALCANTARA ATUA LIVERPOOL KWA PAUNI MILIONI 25 MIAKA MINNE

  KIUNGO wa kimataifa wa Hispania, Thiago Alcantara akiwa ameshika jezi ya Liverpool baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 25 kutoka Bayern Munich alikodumu tangu mwaka 2013 akitokea Barcelona. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 amesaini mkataba wa miaka minne wa kufanya kazi Anfield 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: THIAGO ALCANTARA ATUA LIVERPOOL KWA PAUNI MILIONI 25 MIAKA MINNE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top