• HABARI MPYA

  Jumapili, Septemba 20, 2020

  SADIO MANE APIGA MBILI LIVERPOOL YAICHAPA CHELSEA 2-0 DARAJANI


  Mshambuliaji wa kimataifa wa Senegal, Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili dakika ya 50 na 54 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge, London
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SADIO MANE APIGA MBILI LIVERPOOL YAICHAPA CHELSEA 2-0 DARAJANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top