• HABARI MPYA

  Jumapili, Septemba 20, 2020

  GARETH BALE AREJEA RASMI SPURS KWA MKOPO KUTOKA REAL MADRID


  Winga wa kimataifa wa Wales, Gareth Bale akiwa ameshika jezi ya Tottenham Hotspur baada ya kukamilisha uhamisho wa mkopo wa mwaka mmoja kutoka Real MadrId, miaka saba tangu aondoke White Hart Lane mwaka 2013 kwa dau la rekodi ya dunia. Inaaminika Spurs itakuwa inalipa nusu ya Pauni 500,000 za mshahara wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: GARETH BALE AREJEA RASMI SPURS KWA MKOPO KUTOKA REAL MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top