• HABARI MPYA

    Wednesday, September 16, 2020

    ASTON VILLA YAMSAJILI KIPA MUARGENTINA WA ARSENAL

    KIPA Muargentina, Emiliano Martinez akiwa ameshika jezi ya Aston Villa baada ya kusaini mkataba wa miaka minne kwa dau la Pauni Milioni 16 kutoka Arsenal alikodumu kwa miaka 10 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ASTON VILLA YAMSAJILI KIPA MUARGENTINA WA ARSENAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top